Advertisements

Sunday, August 17, 2014

BBQ YA KWANZA YA JUMUIYA MPYA DMV


Katibu akiwa kikangoni akichoma mfugo kwenye BBQ ya kwanza ya uongozi mpya iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 16, 2014 Silver Spring, Maryland.

Rais Iddi Sandaly akiongea na wanaDMV waliofika kwenye nyama choma ya kwanza ya uongozi mppya DMV.

Makamu wa Rais Harriet Shangarai akiongea na wanaDMV kwenye nyama choma ya kwanza ya uongozi mpya iliyofanyika Jumamsoi Aug 16, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
 WanaDMV waliojumuika pamoja.
 WanaDMV wakiwasikiliza viongozi wao wapya.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Picha zingine baadae

8 comments:

Anonymous said...

Huko USA siji tena wamefulia

Anonymous said...

Obvious hii jumuiya imegawanyika kwa kuwa sioni hata mtu mmoja wa ile timu nyingine akihudhuria hapa.Mimi ningeshauri kuurudia huu uchaguzi ili kupata viongozi wapya ambao wataiunganisha jumuiya yetu ya wana-DMV na siyo huyu ndugu ambaye ni mdini tu.

Anonymous said...

waliojumuka walikuwa na makaratasi yao bahati yao na hamna hata haya kwani huyo iddy kashinda kwa lipi?

bana bana hii comment mpwaa ndo kazi yao tunakujua

Anonymous said...

waaoh. nice. .hehehe Kuna dada apo anawigi kama uyoga was kibongo wavikofia. .kwikwikwi. .

Anonymous said...

bbq ya wana NY katika mkutano wao wa jana picha ziko wapi NY ibra?

Anonymous said...

This is one of the myopic moves that typical nonvisionary leaders make. Kesho na kesho kutwa utawakuta wanaitisha harambee ya kuchangia lobbying activities za Dual Citizenship. What's more important: The nonurgent BBQ or the once-in-a-lifetime opportunity to secure Dual Citizenship? Shame on you!!!

Anonymous said...

mme pwaya na vinyama vyenu watu mbona hakuna.wako wapi wavimba macho wenginewe na cha domo wa vijiweni,mmeogopa siyo na bado.

bana comment bana comment

Anonymous said...

SASA NI TEAM DMV ----