Advertisements

Friday, September 19, 2014

MDOGO WAKE DIAMOND HII NDIYO HABARI YA MUJINI



Kila kitu saa ni Oficial mdogo wake Diamond Esma na Petitman hii ndiyo habari ya mujini wamesha funga ndoa sasa ni kupika na kupakuwa kwa nafasi hile kiroho safi.
Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.
“Ni kweli Esma ni mchumba wangu na Mungu akijalia soon tunafunga ndoa,” alisema Petit kwenye kipindi cha My Playlist cha Clouds TV. Alipoulizwa jinsi Diamond anavyouchukulia uhusiano wao, alisema: Unajua siwezi kumsea moyo wake lakini naona kawaida na hamna tatizo lolote.”

No comments: