Advertisements

Tuesday, October 28, 2014

AJALI MBAYA ILIYOTOKEA HUKO UKONGA BANANA

Inasemekana kuwa roli hili lenye contina limeangukia hiace yenye abiria huko maeneo ya banana ukongo na kusababisha vifo vya abiria waliokuwa ndani ya hiace hiyo. Habari hii tumeipata kupitia shuuda wetu aliekuwepo eneo la tukio kwa habari zaidi zitawajia kupitia hapa hapa vijimambo.

1 comment:

Anonymous said...

Malori yote yanayobeba containers brbr ya Mandela hayafai kuwa barabarani,trafic wametanda kuchukua kitu kidogo.Hayo malori hata lock za kubania containers hazifanyi kazi au hawajali kuzifunga!"