Advertisements

Saturday, October 25, 2014

MIAKA 25 NDIO UMRI SAHIHI WA MISS TANZANIA SITTI MTEMVU

Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu akionyesha cheti chake cha kuazaliwa kilichowakilishwa kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2014 kama kielelezo chake cha umri aliokua nao kinachoonyesha tarehe yake ya kuzaliwa kuwa ni 31 Mei 1991 wakati pasi yake ya kusafiria ianonyesha tarehe 31 Mei 1989 tarehe ambayo inaenda sambamba na leseni yake ya uendeshaji aliyokua akiitumia mji wa Dallas jimbo la Texas nchini Marekani ikiwemo fomu ya uhamijai aliyokua akijaza wakati akiingia nchini Marekani. Kwa kuangalia vigezo vyote hivyo utakubaliana na mimi Miss Tanzania wetu kadanganya umri.
Pasi ya kusafiria ya Sitti Mtemvu
Leseni ya uendeshaji jimbo la Texas nchini Marekani
Fomu ya Uhamiaji 

18 comments:

Anonymous said...

Pole. Hapo huna la kujitetea

Anonymous said...

Na ukiangalia sura Yake ilivo kaa kipashu na ki msuto msuto utajuwa huyu ni mwanamke wa umri aliekomaa sio 23, 24, au 25.

Anonymous said...

Since vigezo vinaonyesha wazi kuwa Miss TZ (Sitti) kadanganya umri, inabidi avuliwe hiyo tittle na apewe aliekuwa mshindi wa pili Kutoka Sitti

Anonymous said...

Avue taji siyo vizuri kubeba usichostahili...hongera mdau kwa kuanika ukweli...tukiendelea na mwendo huu tutafika mbali!! Hakututendea haki waTanzania !! Kwanini adanganye? kwani wenzake hawastahili hili taji?

Kagyabukama said...

Pole sana mtoto, Duniani ni kheri kukutana na simba, akikupita unashukuru maana UMEPONA.

Kweli mwanadamu muogope.

Anonymous said...

Sasa huyu dada atasafiri vipi kwenda huko miss universe, maana anaikana passport yake ya umri wa 25, ina maana atazunguusha nyingine mpya ya 21, eeh Bongo tambarale..

Anonymous said...

Jamani hili sio tatizo la Sitti bali ni viongozi wete wa nchi ambao wanaona jinsi upuuzi kama huu umejitokeza still wanafungia macho na hawasemi kitu. Jamani tubadilike wenyewe kwanza then tuwabadilishe na wenzetu. viongozi hamkeni. Lundenga anastahili kufungiwa kabisa kuhost kazi ya Umiss.

Anonymous said...

Kashajivua madaraka leo hii. Luka fuatilia utupe taarifa kamili.

Anonymous said...

MI NAONA TANZANIA WATAYEYUSHA TU WAMCHOMEE TU NA HUKO migration akose kote.uongo tu

Anonymous said...

Wabongo wameamka kiusongo. Mama weee!!! Kila kitu nje!!! Kazi kweli kweli!!!!!

Mr. Ally said...

Corruption bad system!

Anonymous said...

Mtoto wa hata siku moja hawezi kuwa kifaranga cha kuku la hasha, lazima atakuwa paka tuu. Je tunaweza kujikumbusha habari za akina KIHIYO wa zamani zile? Miss TZ 2014 ni bonge la kihiyo. Avuliwe taji hilo na apigwe marufuku kujihusisha na mambo hayo. Tena kama kaajiriwa aangaliwe sana huyo ni mdanganyifu.

Anonymous said...

Pole dada utakuwa sawa tu, watanzania tungekuwa tunafatilia mambo mengine ya corruptions kama tulivyofuatilia issue ya huyu miss Tanzania tungefika mbali sana

Anonymous said...

Miss Tanzania inatakiwa kushtakiwa mara moja kufunguliwa kesi mahakamani. Pia huyo Miss na wazazi wake kwa udanganyifu

Anonymous said...

The sooner mr Lundenge and his crew realizes that this tarnishes the image of the organization and the country the better it will be for all including the poor and misguided young lady. Regrettably even her parents lack the wisdom to intervene and serve their daughter from further embarrassment and indignity!

Anonymous said...

Bwana Lundenga ndiyo tatizo, yeye ndiyo aliyeruhusu huu uchafu, salsa taifa linaaibikakwa sababu ya watu wachache wenye njaa ya pesa.

Sio huyo Miss ajiuzuru pia Lundenga naye ang'atuke kuna watu wengi wanaweza kufanya kazi nzuri tuu.

Anonymous said...

Baraza la mitihani toeni record ZAKE ZA Shule TUFUNGE kazi kwani kasomea wapi? SI bongo tafuteni alianza Lini darasa la Kwanza na document alizotoa!! Simple tuone na hilo akatae.

Anonymous said...

Tanzania nchi yangu, yani its a sad case, mpaka inatia aibu kujitambulisha kama m Tanzania mbele ya maifa mengine. Not so bad kuhusu umaskini but the way nchi inavyoendeshwa. Hamna mtu kuwajibishwa kwa lolote afanyalo. Pray for Tanzania and lets make changes and save our country.