Advertisements

Monday, July 27, 2015

TUNDU LISSU AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU EDWARD LOWASSA.

17 comments:

Anonymous said...

Can't sell your integrity for such a cheap politics. Jamii ilikuwa inawaheshimu kama ni watu mlio na misimamo imara .Leo hii mmekuwa mstari wa mbele kuondoa madoa ya chui kwa Jik?

Anonymous said...

Nini msingi mkuu wa Chadema kwa sasa? Kwani tuliwapenda kwakua mlikuwa mstari wa mbele kukemea ufisadi na kufichua mafisadi.You are about to lose that edge ,then what else should we expect from you?

Anonymous said...

Chadema is done, ukawa is done and lowasa is done. Upinzani in tanzania is a joke

Unknown said...

Again Lowasa bought ukawa this time didn't have to face any challenge that is a joke from the people who turned him a punching bag of all time for the all scandals and failures on fighting corruptions at C CM. That is a unforgivable mistake to the Tanzanians for bringing lowasa as your presidential candidate hope has been deceived for the integrity and accountability government you're lied about. And for this ukawa led by chadema you just shone your true color and cheapness you're all bout power grab for the sake of your bellies but not for the prosperity of this beautiful country. We have been deceived enough with your cheap politics but by the election we will tell you the truth. Wadumu na tuwaenzi watu makini kama Maghufuli, Tanzania Daima.

Anonymous said...

kila mtu fisadi kwa nafasi yake, so UKAWA is not an exceptional

Anonymous said...

Mmmmmmmm. Usanii mtupu.
Mwalimu alionya wakimbieni kama ukoma wale wanaotaka kuingia ikulu kwa hali yoyote ile.

Anonymous said...

Sasa nimeamini bongo hakuna chama cha upinzani, wote ni mamruki tu. Hongera sana CCM kwa kumteua Mh. John Pombe Joseph Magufuli, huyo ndiye rais ajaye. MUNGU ambariki sana, pia MUNGU atusaidie wabongo wote kutambua kuwa TZ hakuna upinzani kabisa, hivyo tuwanyime kabisa kura wabunge wa upinzani, tusiwape jimbo hata moja. Haiwezekani wewe Mh. Tundu Lissu kula matapishi yako, hii imedhihirika kuwa ni njaa tu inayowasumbua, hakuna kitu kingine, na hatuwaungi mkono hata kidogo. Yaani hata wewe Lissu tulikuona wa maana sasa unajichanganya. Nawaomba sana wananchi wa Singida, tuungane kwa pamoja kumpiga chini Lissu kama tulivyomfanya changudoa Wema Sepetu, kwa kuwa hawa wote ni sawa tuu.

Anonymous said...

Nawapa heko kwa strategy makini sana.
Swala ni kuliondoa dubwana ,silaha gani zimetumika it doesn't matter...who cares.

Anonymous said...

Tanzania hakuna upinzani, mmejimaliza wenyewe kisiasa, nadhani mtu huwa anatependa timu na siyo mtu, kama ukiangalia wachezaji wa Yanga alipokuwepo mchezaji nguli Ngasa, watu waliipenda yanga kwa sababu ya ngasa kuwepo, aliponunuliwa SA watu wamebaki na upenzi kwa yanga,hawamkumbiki tena mchezaji aliyeondoka, sasa kama mnadhani kwamba akija CDM, watanzania watamfuata huko huko, sidhani kama kuna upenzi wa aina hiyo. Jaribuni kutazama upya msije mkadhalilika Octoba.

Anonymous said...

mimi nilikuwa nakipenda sana Chadema lakini kwa uwamuzi huu wakumpokea Lowasa mmmmmmmmmmmmmmmmm nangatuka

Anonymous said...

hapa ni ile methali wameruka mkojo wameenda kanyaga mavi,

Anonymous said...

Kwa mara nyingine Taifa linakosa Statesman. Na kwa mara ya kwanza tunakosa watu tunaoweza kuwaamini katika siasa zetu. Kwa ukweli kabisa Edo ni mtendaji mzuri ila siyo chaguo sawia kwa kiti cha URAIS.

Neema Shillah said...

Safi sana Chadema nawapongeza kwa uamuzi mzuri sana wakumkaribisha Lowasa, Tunahitaji mabadiliko katika inchi hii tumechoka kuumizwa

Anonymous said...

Ccm ndio chama kilichooza,chama cha mafisadi wa escrow,chama selfish,kwa ujumla siasa ya bongo ni ovyooooo,viongozi ni wezi,waongo,

Anonymous said...

Adui numba moja ni CCM. Siasa si sawa na 1+1=2. Utakuwa umekosea. Agenda kuu ni kuing'oa CCM madarakani.

Anonymous said...

Ccm atoke kama kanu ya Kenya, tunaangalia mtu sio chama mpinzani wa kweli atatoka ndani ya ccm na Wakati ndio huuuiuuu

Anonymous said...

Lowasa Fisadi mbona hakuna aliyeweza kutoa ushahidi ccm mwaona kimenuka sasa mnatapatapa mazishi yenu October. Enyi mafisadi wakuu pesa za Escrow ni za mwisho kuibia Taifa. Mtakaa pembeni na kutazama Serikali ya Ukawa.