Advertisements

Tuesday, July 28, 2015

TWEET YA RAIS KIKWETE BAADA YA KUSIKIA LOWASA KAJISALIMISHA KWA UKAWA JITIRIRISHE CHINI


While everyone is talking about Hon. Edward Lowassa and UKAWA right now, there is one of the more recent tweets from the President of Tanzania Hon. Dr. Jakaya Kiwete. I’m just wondering if it has anything to do with the Lowassa-UKAWA issue.

8 comments:

Anonymous said...

Joto linaanza kupanda sasa sisiemu, inavyoipambambanua hiyo msg in kwamba hakuhusika kumbwaga chini mshikaji kuna watu ndiyo wahusika kamili, ni katika kujisafisha kwa lolote litakalotokea October. EL akicheza karata vizuri sisiemu tunakizika October na kutokana na madudu yake ya miaka mingi hakiwezi kuwa hata chama cha upinzani bungeni.Mungu ibariki Tanzania na UKAWA ili iweze leta maendeleo kwa watanzania wanyonge.

Anonymous said...

Hakuna kitu kama hicho, mchezaji wa simba anapokuwa yanga mashabiki huwa wanampenda saana, akihamia yanga mashabiki wanasema hana mashiko, uwezo wake si bora, ndivyo ilivya katika uchaguzi ujao. tusiongee saaana, tusubiri matokeo ubaoni. Mungu wetu si kigeugeu, kama alimchagua daud akawa shujaa wa vita, hata watanzania tutapewa daudi ambaye yuko kimyaa na atashinda vita. washindi huwa hawana papara kabisa.

Anonymous said...

HAKUNA JOTO WALA NINI?

Q AutoWorks said...

Sera za ccm zinajulikana hata kama hazileti maendeleo.sera za ukawa ni zipi?

Wapinzani wameishiwa.kumkubali lowassa katika team yao inaonyesha jinsi walivyo na uchu wa madaraka. Lowassa ana uchu wa kwenda ikulu. Chadema wakiongozwa na mbowe bungeni ndio waliomtoa lowassa uwaziri m kuu. Leo wanataka kumpa uraisi

Anonymous said...

Chadema na ukawa ndio wamejizika. Si mlisema lowasa ni fisadi papa!!!! Sasa imekuwajje leo ni msafi. Ndio alichisema tundu lisu sababu ni maarufu wampe tu ya ufisadi ni kweli lakini lowasa anaweza kuisambaratisha ccm!!!!! Real real? Labda tuwakumbushe kidogo 1995 mrema alikuwa maarufu zaidi kuliko huyo fisadi papa. Subiri kesho 1pm ccm watoe tamko, si anataka ushahidi wa richmond asubiri August ataburuzwa mahakamani na ndio utakuwa mwisho wake wa kisiasa. Maneno ya busara toka kwa mwalimu mwaka 1995 na nanukuu" CCM NI KAMA GARI LA TAKA LINACHUKUA KILA AINA YA TAKA,SASA UMEFIKA WAKATI WA KUMWAGA TAKA NA KUSAFISHA GARI HILO NA TAKA CHAFU NDIO HIZO ZINAKWENDA UKAWA. WAOGOPENI VIONGOZI HAWA WANAOTAKA IKULU KWA NJIA YOYOTE" . Sasa nyie mnayojiita ukawa demokrasia yenu iko wapi na lini wanachama wenu wamekaa kumchagua mgombea au sio mnajiteua. Mmekwishaaaaa

Anonymous said...

Thubutu Mdau hapo juu. UKAWA haiwezi kutawala nchi, maana UKAWA haiwezi kulipa JESHI, only CCM has proven to handle the Military for decades, and CCM enjoys the loyalty in return. Ikiwa ndoto zenu UKAWA zitakamilika na kuifanya CCM isishinde, basi mnajua nani atachukua DOLA, na kuleta AMANI!

Anonymous said...

Bwana ametoa CCM, bwana ameitwaa ccm, jina lake lihimidiwe. Mweke CCM mahali pema peponi

Anonymous said...

Hivi inakuwaje mchafu leo kawa msafi bila ya kusafishwa hao hao waliosimama na kumuhita fisadi leo wanadanganyika kwa kutafuta wafuasi wa fisadi angalia jinsi kula za maoni kwenye jimbo lake mbunge aliyeibuka kidedea amepata zaidi ya kula 29,000 hivi kweli angelikuwa na wafuasi wengi si wangeama ccm, pupa la madaraka limewafunga UKAWA mgelipata wabunge wengi lakini kwa hili nguvu ya kushindana imeisha bali mmebaki kuichungulia ikulu kwa kumfikisha Rais mkidhani ni jambo jepesi, kusoma nyakati kunahitaji hekimu ya kutafakari yaliyopita mliyozunguka na kuyapandikiza kwenye akili za wananchi bado mapema kusahau tunayakumbuka, mna kazi kubwa ya kuwashawishi wanachi hili wawaelewe lakini sio kwa wakati huu labda uchaguzi mwingine hili memory card za ubongo ziwe zimeishafuta na kubaki historia. na wewe unayesema bwana ametwaa toa hoja havyo ni vijimambo tu hata mfa maji hakosi kutapatapa.